GEPG PAYMENTS VIA MOBILE NETWORKS
MAELEKEZO KWA KISWAHILI
1. Kupitia Benki: Fika tawi lolote au wakala wa benki ya NMB, CRDB, NBC. na Namba ya kumbukumbu (Control Number) xxxxxxxxxxxxxxx (Usijaze fomu ya kuweka hela)
2. Kupitia Mitandao ya Simu
• Ingia kwenye menyu ya mtandao husika
• Chagua 4 (Lipa Bili)
• Chagua 5 (Malipo ya Serikali Ingiza (Control Number)xxxxxxxxxxxx kama namba ya kumbukumbu
Halfu weka kiasi unacholipa
Mwisho namba ya siri
PROCEDURE IN ENGLISH
How To Pay:
1. Via Bank: Visit any branch or bank agent of NMB, CRDB, NBC. With Control Number: xxxxxxxxxxxx (Dont fill the Deposite Form)
2. Via Mobile Network Operators (MNO):
• Enter to the respective USSD Menu of MNO
• Select 4 (Make Payments)
• Select 5 (Government Payments) Enter the control number xxxxxxxxxxxxx as reference number
Then amount
Lastly PIN (Password)