ENGINEERS REGISTRATION BOARD TANZANIA

News

TUNATEST MITAMBO, ERB MARATHON FOR STEM 2024

August 31st, 2024

Kuelekea mbio za riadha yaani ERB MARATHON for STEM zitakazofanyika jumamosi ijayo tarehe 07 Septemba, 2024. Watumishi wa ERB na wadau wamepasha misuli kwa makundi ya kilomita 5, 10 na 21. Mbio zimeanzia viwanja vya UDASA, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Route Activations. Jisajili sasa kupitia: marathon.erb.go.tz

Recent Post